Nour Almustafa TV Zanzibar
Nour Almustafa TV Zanzibar
  • Видео 1 553
  • Просмотров 6 257 341
KASIDA LIVE ILIOSOMWA NA UST : ABDULRAHMAN DEDES
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT :
TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO
PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE
www.nouralmustafatz.org
Tel : +255 777 144 988 :
TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
Просмотров: 74

Видео

ANAYO ALAMA ILISOMWA NA UST: ABULRAHMAN DEDES
Просмотров 5684 часа назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
NDOA KATIKA UISLAM | MADA : KUMUANGALIA MWANAMKE | USTADH KHAMIS ALI AHMADA
Просмотров 5812 часов назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
BARAZA LA EID NA UZINDUZI WA KITABU CHA SWALA YA MAITI NA EDA MSIKITI WA MWEMBETANGA ZANZIBAR
Просмотров 18119 часов назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
SHEIKH FARID HADI AMALIZA UTATA MZOZO WA ARAFA | KHUTBA YA IJUMAA | MASJID JAMII ZINJIBAR
Просмотров 24 тыс.14 дней назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
JEE TUFUATE WAPI ARAFA ? SHEIKH : IZUDYN ALWY
Просмотров 21314 дней назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
KIPINDI CHA HIJJA | USTADH : KHAMIS A AHMADA | MASIKU 10 BORA SEHEMU YA 3
Просмотров 5614 дней назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
KIPINDI CHA HIJJA : USTADH KHAMIS A AHMADA | UBORA WA MASIKU 10 .SEHEMU YA PILI
Просмотров 5314 дней назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
KIPINDI CHA HIJJA. UST : KHAMIS A AHMADA. SEHEMU YA KWANZA
Просмотров 10514 дней назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
MASIKU BORA NI HAYA | KHUTBA YA IJUMAA | MASJID JIBRIL MKUNAZINI ZANZIBAR
Просмотров 4714 дней назад
KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT : TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE www.nouralmustafatz.org Tel : 255 777 144 988 : TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI
KHUTBA YA IJUMAA: UST MUHAMMED ADNAN MADA :MZUNGUKO WA BINADAMU SEHEMU YA KWANZA . MASJID JIBRIL.
Просмотров 32Месяц назад
KHUTBA YA IJUMAA: UST MUHAMMED ADNAN MADA :MZUNGUKO WA BINADAMU SEHEMU YA KWANZA . MASJID JIBRIL.
MUHADHARA : TABIA NJEMA | USTADH IZUDDIN ALWY | MSIKITI WA ABUU UBAISDAH FUONI MOROCCO ZNZ
Просмотров 255Месяц назад
MUHADHARA : TABIA NJEMA | USTADH IZUDDIN ALWY | MSIKITI WA ABUU UBAISDAH FUONI MOROCCO ZNZ
M-BORA WA KUABUDIWA NI ALLAH |DARSA SHEIKH FARID HADI MSIKITI UBAIDAH FUONI DARSA | NIDAAUL HAQQI
Просмотров 55Месяц назад
M-BORA WA KUABUDIWA NI ALLAH |DARSA SHEIKH FARID HADI MSIKITI UBAIDAH FUONI DARSA | NIDAAUL HAQQI
KUWATENDEA WEMA WAZAZI WAWILI | USTADH JUMANNE KARAMA KHUTBA YA IJUMAA | MASJID JIBRIL | 10/5/24
Просмотров 97Месяц назад
KUWATENDEA WEMA WAZAZI WAWILI | USTADH JUMANNE KARAMA KHUTBA YA IJUMAA | MASJID JIBRIL | 10/5/24
SEHEMU WALIOZIKWA MASWAHABA WA MTUME (S.A.W) MAKKA NA MKE WAKE WA MWANZO NA WATOTO WAKE NA WATU WEMA
Просмотров 249Месяц назад
SEHEMU WALIOZIKWA MASWAHABA WA MTUME (S.A.W) MAKKA NA MKE WAKE WA MWANZO NA WATOTO WAKE NA WATU WEMA
TAFSIR QUR-AAN SURATUL IQRA USTDH FARID MSIKITI WA MBUYUNI
Просмотров 67Месяц назад
TAFSIR QUR-AAN SURATUL IQRA USTDH FARID MSIKITI WA MBUYUNI
AINA YA MATAMSHI YALIYOFICHIKA | USUWLULFIQHI | USTADH FARID HADI | DARSA NO1 MSIKITI WA MBUYUNI ZNZ
Просмотров 57Месяц назад
AINA YA MATAMSHI YALIYOFICHIKA | USUWLULFIQHI | USTADH FARID HADI | DARSA NO1 MSIKITI WA MBUYUNI ZNZ
TUSIJITIE MAANGAMIZI KATIKA MIKONO YETU | KHUTBA YA IJUMAA | UST ABDUL AZIZ ABDALLAH |MSIKITI JIBRIL
Просмотров 130Месяц назад
TUSIJITIE MAANGAMIZI KATIKA MIKONO YETU | KHUTBA YA IJUMAA | UST ABDUL AZIZ ABDALLAH |MSIKITI JIBRIL
KUDUMU KATIKA MAMBO YA KHERI | KHUTBA YA IJUMAA | USTADH FARID HADI MSIKITI WA MBUYUNI ZNZ
Просмотров 99Месяц назад
KUDUMU KATIKA MAMBO YA KHERI | KHUTBA YA IJUMAA | USTADH FARID HADI MSIKITI WA MBUYUNI ZNZ
HAULI YA HABIB AHMAD BIN ABUBAKAR BIN SUMEIT MSIKITI WA IJUMAA MALINDI 2024.
Просмотров 3722 месяца назад
HAULI YA HABIB AHMAD BIN ABUBAKAR BIN SUMEIT MSIKITI WA IJUMAA MALINDI 2024.
NDOA NI NEEMA INAYOLETA AMANI KATIKA NCHI |UST FARID HADI | KHUTBA YA IJUMAA |MSIKITI UBAIDAH FUONI
Просмотров 3742 месяца назад
NDOA NI NEEMA INAYOLETA AMANI KATIKA NCHI |UST FARID HADI | KHUTBA YA IJUMAA |MSIKITI UBAIDAH FUONI
KHUTBA YA IJUMAA USTADH JUMANNE KARAMA RAMADHAN 4 MSIKITI JIBRIL
Просмотров 1053 месяца назад
KHUTBA YA IJUMAA USTADH JUMANNE KARAMA RAMADHAN 4 MSIKITI JIBRIL
KIPINDI CHA BIDAYATUL- HIDAYA : SEHEMU YA ARUBAINI NA NNE
Просмотров 964 месяца назад
KIPINDI CHA BIDAYATUL- HIDAYA : SEHEMU YA ARUBAINI NA NNE
KIPINDI CHA BIDAYATUL- HIDAYA : SEHEMU YA ARUBAINI NA TATU
Просмотров 684 месяца назад
KIPINDI CHA BIDAYATUL- HIDAYA : SEHEMU YA ARUBAINI NA TATU
DARSA YA MAMBO YANAYOHARIBU TAYYAMAM SHEIKH ZIUDEIN ALAWY
Просмотров 665 месяцев назад
DARSA YA MAMBO YANAYOHARIBU TAYYAMAM SHEIKH ZIUDEIN ALAWY
DARSA YA MAMBA AMBAYO NI HARAMU KWA MWENYE HEDHI SHEIKH IZUDIIN ALAWY
Просмотров 1075 месяцев назад
DARSA YA MAMBA AMBAYO NI HARAMU KWA MWENYE HEDHI SHEIKH IZUDIIN ALAWY
DARSA YA MAMBO AMBAYO YANAYOFANYIKA KATIKA HARUSI SHEIKH IZUDEIN ALAWY
Просмотров 2605 месяцев назад
DARSA YA MAMBO AMBAYO YANAYOFANYIKA KATIKA HARUSI SHEIKH IZUDEIN ALAWY
DARSA YA DUA YA NYUMBANI NA MSIKITINI SHEIKH IZUDIIN ALAWY
Просмотров 1135 месяцев назад
DARSA YA DUA YA NYUMBANI NA MSIKITINI SHEIKH IZUDIIN ALAWY
DARSA YA MADHARA YA KUMTUKANA MWEZAKO SHEIKH IZUEDIN ALAYW
Просмотров 885 месяцев назад
DARSA YA MADHARA YA KUMTUKANA MWEZAKO SHEIKH IZUEDIN ALAYW
DARSA YA KUWAOMBEA WENZIO KHERI SHEIKH IZUDIIN ALAWY
Просмотров 835 месяцев назад
DARSA YA KUWAOMBEA WENZIO KHERI SHEIKH IZUDIIN ALAWY

Комментарии

  • @CuteRia-de5jj
    @CuteRia-de5jj 32 минуты назад

    Imagine niliiskiliza hadi nkaijua nkafunza wenzangu madrsa tukaisoma siku ya hafla.

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 10 часов назад

    Irushwe na qaswida alosoma juma faki maqaam RASTI

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 12 часов назад

    Maashaallah....Maashaallah.....🎉🎉swallallahu aleyh.....

  • @s.m.jawadida8868
    @s.m.jawadida8868 День назад

    MashaAllah. Jazakumu Allahu Keira

  • @s.m.jawadida8868
    @s.m.jawadida8868 День назад

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @MohammedAli-ud8so
    @MohammedAli-ud8so 2 дня назад

    Tunaomba n vipande vya wasomaji wengine kwenye iyo shughuli

  • @user-mu9xf6qp9y
    @user-mu9xf6qp9y 2 дня назад

    Mashallah

  • @salumsaid-nf2sh
    @salumsaid-nf2sh 2 дня назад

    Maashallah Tabaaraka Rahmaan

  • @crystalservice-hu7wc
    @crystalservice-hu7wc 2 дня назад

    ❤❤❤🤗🤗🧕☝️👌🤲🤲

  • @MaimunaAli-se9hk
    @MaimunaAli-se9hk 3 дня назад

    Mashaallah

  • @MaimunaAli-se9hk
    @MaimunaAli-se9hk 3 дня назад

    Mashaallah

  • @Coutinho_112
    @Coutinho_112 5 дней назад

    Mashallah, hiii ni kubwa mnoooo🔥🙌

  • @MohammedAli-ud8so
    @MohammedAli-ud8so 5 дней назад

    Shukran Noor Mustafa kuja kupiga live

  • @rashidhemed1444
    @rashidhemed1444 7 дней назад

    Mawahabi hawako kwa ajili ya dini ndio maana wanakua wakali ukiwaukiza masuali kwa sababu hawana hoja

    • @abeidpazia1720
      @abeidpazia1720 6 дней назад

      Mbona siku ya ukimwi Dunia I ni Moja a..arafa ndio ziwe mbili x3..ok tuachane na hao ambao wanapisha masaa na makka na SS hapa Tanzania tunapishana msaa na makka??

    • @rashidhemed1444
      @rashidhemed1444 22 часа назад

      @@abeidpazia1720 ndio hadithi gani hiyo

  • @shakirchakkingal2237
    @shakirchakkingal2237 7 дней назад

    Where does this institution or this mosque come in correct? This program is for live viewing. Please tell me.

  • @shakirchakkingal2237
    @shakirchakkingal2237 7 дней назад

    Where is this place in Zanzibar, can you tell me the correct place

  • @shakirchakkingal2237
    @shakirchakkingal2237 7 дней назад

    Where is this place in Zanzibar, can you tell me the correct place

  • @maimunarashid77
    @maimunarashid77 7 дней назад

    2024 june 21stاللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @susususu139
    @susususu139 7 дней назад

    Baraka Allah fik

  • @Mselemsaid
    @Mselemsaid 7 дней назад

    Mashallah

  • @khamismaulid-zh4xk
    @khamismaulid-zh4xk 8 дней назад

    Shehe wangu Alla akuhifadhi hii fungeni tisa umetowa wapi usizongewatu

  • @w4058
    @w4058 8 дней назад

    Ismail Juma hapo ndio wanapijichanganya hao wabishi na wanajuwa kama ni wabishi Allah awape Ilhaam ya kufahamu

  • @AlSianySelemani
    @AlSianySelemani 8 дней назад

    😢 Masha Allah! Allahuma barik alayhi, i am so blessed to day??

  • @user-mv5wu5or9v
    @user-mv5wu5or9v 8 дней назад

    Hayo maajabu yapo kwetu TU ila Dunia nzima inafahamu na Allah ni mkwasi msifiwa na humuongoza amtakae kwenye nuru yake

  • @user-mv5wu5or9v
    @user-mv5wu5or9v 8 дней назад

    Acha uongo funga inaaza alfajir na kuisha magharibi Kila nchi inafunga zikifika nyakati mtume kasema siyamu yaumu aarafa kw io siku ni Moja hakuna nchi iliyo mbele au nyuma kwa masaa 24 basi hata mtume angekuwepo leo kwenye maisha yetu akawatangazia mngelimkataa

    • @fareedahmad6857
      @fareedahmad6857 6 дней назад

      wewe unajisemea tu kabla ya Mwezi kuandama huko Suudia nchi ya KIRIBATI WANAKUWA WAKO SIKU NYENGINE KABISA Nyie hamjui Jografia na tafauti za masaa baina ya Nchi ziko Nchi zinapishana siku na ziada ya masaa mawili

  • @user-mv5wu5or9v
    @user-mv5wu5or9v 8 дней назад

    Tunaelewa hata angekuwapo Rasulullah akawatangazia pia mungelimuambia kuwa nyinyi mnafuata mwezi wenu hamutomfuata.

  • @abuukhairat7738
    @abuukhairat7738 8 дней назад

    Kwanni amiri faridi unafuata kauli za wanachuon wetu baadhi tu unazozitaka ww mbona nyengine hufuati.

  • @user-qo9xg9zc2p
    @user-qo9xg9zc2p 8 дней назад

    Mashaallah

  • @amritwaha-kp3hu
    @amritwaha-kp3hu 9 дней назад

    Sheikh hapa ambae hajaelewa haelewi kamwe japo wajinga wako wengi na mtume s.a.w.amesema mjinga ameshakufa kabla ya kufa kwake tatizo wajamaa wabish kama pili

  • @masoud7486
    @masoud7486 9 дней назад

    Kweli kabisa Allah akuzidishie eliimu. Hawo wanataka kupoteza watu wana lipwa kupoteza watu

  • @masoudrashid6807
    @masoudrashid6807 9 дней назад

    mimi nilikuwa niikose hii faida Alhamdulillah ALLAH kanijaalia kuipata.Yaani Umeieleza kwa uzuri ALLAH Akuhifadhi sheikh Farid..

  • @mwanamvuajamali8215
    @mwanamvuajamali8215 10 дней назад

    Uzuri haki haizami battli ndo inazama Allah atailinda dini yake yahaki na itazid kuwajuu,mashekh wakisalafi Allah azidi kuwapa maarifa wazidi kuifahamisha haki

  • @mwanamvuajamali8215
    @mwanamvuajamali8215 10 дней назад

    Siku nimojatu tofauti nimasaatu shawwali yamwaka huu mbona tuliswali wote nasaudia imekuwaje na tarehe zadunia nitofaut?naje nipo Tanzania ndani yamwezi wa ramadhani kwetu ni1 na saudia ni2 ndani yasiku1 nikaw nimesafiri kwenda saudia nilipofika wa29nashawwal ikaandama namimi nikaona kwamacho yangu namimi ni28 nitafanyaje?

  • @IssaAli-wz5jh
    @IssaAli-wz5jh 10 дней назад

    Mwandishi unaposema Sheh Faridi amaliza utata mzozo wa Arafa kwaiyo watu sote tutakuwa wamoja kuhusu suala hilo au vipi?

  • @AllyRashid-st2hl
    @AllyRashid-st2hl 10 дней назад

    Huyo alie sema tuna tarehe mbili siku moja kakalishwa mbona Tanzania kila siku tuna swala moja ya alfajiri lakini muda wanaoswali dar sio wanaoswali shinyanga

  • @w4058
    @w4058 10 дней назад

    Tatizo lenu ni kutowa kufahamu uchambuzi wa Masheikh Ibnu Baaz na wenzake ufahamu wenu mfupi na ukaidi tu kwasababu elimu za hao mnaowafuata mshatajiwa mpaka Mtume SAW bado tu mnakaidi Subhanallah Wazayuni wamekupateni na hao Masheikh wenu wanaokuwa hawataki kuona kwamba wamekosea

  • @w4058
    @w4058 10 дней назад

    Nakuunga mkono hao hawana elimu ya fiqhi wala sheria za chimbuko la ibada Allah akuweke Sheikh wetu Allah akuzidishie elimu

  • @w4058
    @w4058 10 дней назад

    Nakuunga mkono hao hawana elimu ya fiqhi wala sheria za chimbuko la ibada

  • @w4058
    @w4058 10 дней назад

    Usimfuate kwa wewe nani jina kubwa fahamu huna mtumwa wa Mazayuni ni wewe ulokuwa hujui kufafanuwa

  • @HamisFundi-ct7qw
    @HamisFundi-ct7qw 10 дней назад

    Kipindi cha COVID hakukuwa nahija walakisimamo cha Arafa waislam walifunga mwezi 9 kwann tucache kwaxbabu hakukuwa naibada yhija

  • @abuahlaam
    @abuahlaam 11 дней назад

    AJAB ILIOJE HII !!! JANA ILIKUA NI FATHERS DAY DUNIA NZIMA NA HAO JAMAA ZENU WALISHEREKEA MPAKA WAKAEKA NA STATUS. HATUKUSKIA HUKU NI USIKU WALA KULE AMERICA NI MCHANA HAIWEZEKANI DUNIA NZIMA KUSHEREKEA !!! LAKIN ARAFA NA EID IKIJA NDO UTASKIA HOJA ZA KUA HAIWEZEKANI DUNIA NZIMA IWE NI ARAFA MOJA WALA EID MOJA HUKU TUKIWA MCHANA AMERICA NI USIKU WATAKUA VIP ARAFA ... LAKIN FATHER'S NA MOTHER'S DAY WANAKUBALI IWE DUNIA NZIMA SIKU MOJA ... akili za kwambiwa changanya na zako .. NB. hapa sijatoa hoja

  • @HABIBHABIB-bt8dp
    @HABIBHABIB-bt8dp 11 дней назад

    Kila mtu Ana upeo wake wa elimu na hio yeye ndio ufahamu wake na dini si kwa akili ya mtu Allah amjalie kila la kheri

  • @omarsaid3005
    @omarsaid3005 11 дней назад

    ruclips.net/video/EfuAi4Q7cd4/видео.htmlsi=wlB_M7DJfzYfviwM

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 11 дней назад

    Ukweli ni kwamba funga ya arafa unahusiana na siku ya arafa na siku ya arafa inahisiana na eneo la arafa, haihitaj PHD wala D mbili kuwa tunafunga arafa ili kujinasibisha wale walioko kwenye viwanja vya arafa, MUOGOPEN MWENYEZIMUNGU Mnawalisha watu matango pori kisa kuogopa wanaadamu, hivi kwa mfano mtume angekuepo hadi leo nyie wandengeleko wa bongo msingekuwa mnafunga na kufungua kwa tarehe ya Saudi 🇸🇦?

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 11 дней назад

    Waislam tuna tarehe mbili ndan ya Siku moja huu ni mtihan,

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 11 дней назад

    Yan iwezekane father's kuwa siku moja dunia nzima ila inashindikana kwenye dini yakwel kukosekana Arafa moja 😂😂😂😂 huu ni mtihan afu tunajunasibu dini yetu imekamilika, nini anajifunza mtu aliye nje ya dini yetu atashika lipi wakat akitaka kuingia kwenye dini, nani mkweli kwenye hili?,

  • @salimmahamud2027
    @salimmahamud2027 11 дней назад

    Shekhe Allah akuweke umetumia hekima sana, sasa waislam wengine walitaka usemaje hapo?

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 11 дней назад

    Ww muibadhi achakupotosha ww waulizen Tu munataka hamuutaki au ilemulokuwamukisemani haki mukatupigisha mabomu na vigongo bure Leo iyohakiyenu mumeinyamazia Leo munapotosha

  • @USSIIDDI-qn7od
    @USSIIDDI-qn7od 11 дней назад

    Amemalizaje utata

  • @user-qn8ig9ey6b
    @user-qn8ig9ey6b 12 дней назад

    Tatizo la watu wengi ni kushikilia misimamo ya wanao wapenda hata wakipewa dalili za kielemu bado hawataki huu ni ujinga jitu linasema sheikh farid amenunuliwa ndoninisasa na ushahidi wa hdithi na aya za quran bado huelewi wewe ndo umenunuliwa na sheitwani